Huwa mnafanyaje katika hali kama hii.
Uwezo wa kuhudumia mke na mtoto mmoja upo lakini ukisema usubiri ujichange hadi uwe na mahari inayotakiwa ni parefu. (1,000,000)
Je ni sahihi kuomba uchangiwe mahari??? Si inaweza kuwa mwanzo wa dharau mahari uchangiwe utaweza kutunza mke na mtoto. (watu...
Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na...
Kupata au kukosa kwangu mimi vyote vina maana sawa hilo halijawahi kuwa tatizo katika kunikosesha ama kuniletea furaha. Naamini furaha ni uamuzi wangu ama niseme furaha ni kitu ninachokimiliki kwa hiyo kazi yangu ni kuamua tu mda gani nifurahi.
MJINGA MIMI ILA NI FUNZO KUBWA SANA KWANGU
Rafiki...
NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?
Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=
Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=
Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.