Nani kati ya vijana hawa wawili anadumaa kiakili?

Lovehate

Member
Apr 26, 2018
52
75
Kijana wa 25+ anaekaa nyumbani na kijana ambaye anajitegemea lakini anazaa watoto wanalelewa na wazazi wake nani anadumaa kiakili?
 
Anaezaa na kupeleka watot nyumban kwa wazaz hana akir bora huyo anaekaa kwa wazaz huenda akawa anasaidia kaz za hapa na pale kwa wazaz wake ila huyo mwingne anapeleka usumbuf tu kwa wazaz usikute hat mahitaj tu ya wanae hapelek
 
Back
Top Bottom