Recent content by Lovebird

 1. Lovebird

  Kazi 10 hatari zaidi Duniani

  Kuwa shabiki wa timu ya mpira - Yanga waeza pata heart attack
 2. Lovebird

  Kwanini mataifa yote duniani yasizalishe hela nyingi ili kuondokana na umasikini?

  thamani ya hela isingekuwepoo wanawake wako wengii lakini thamani ya papuchi iko pale palee...lazima me uhangaike ata kidogo kuhudumiaaa 🤣
 3. Lovebird

  Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

  Jana jioni meona video ya kijana mwizi wa vifaa vya magari amekamatwa...kapigwa vibayaaa nahisi ka atapona atakuwa ametia akili
 4. Lovebird

  Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

  maisha ni kuchokonoana tuuu ... upande mmoja ukikaa kimyaa chokonoa hadi pande zote zicheze ngoma ya kudemkaa
 5. Lovebird

  CRDB bank yapata faida ya billion 236 mwaka 2020

  Ukiangalia salio = makato Ukitoa hela = makato Ukihamisha hela=makato Ukikopa = makato Ukihuisha kadi = makato makato+makato+makato+makato+ uwekezajii =bilions of faida
 6. Lovebird

  Mbunge Luhaga Mpina azidi kutema cheche, sasa ataka Kamati ya PAC imbane CAG

  Ngoma ya ku-demka inachezwa na wengi
 7. Lovebird

  Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

  wiki jana meona picha ya video ya wizi ulofanyika kwenye gari aina ya VANGUARD dah yaani hao jamaa wanafanya uharibifu wa hatari
 8. Lovebird

  Rais Samia akiteua huwaapisha Watendaji Ikulu, kwanini Dkt. Magufuli aliwaapisha Chato?

  ukitaka ongeza pato la wanajamii wa mahali fulani we anzisha shughuli mbali mbali ktk eneo hillo tafuta kijiji kisicho na maendeleo...fanya mchakato wa kuonesha dhahabu/madini yanapatikana baada ya mwezi patafurika na wenyeji watapata mapato
 9. Lovebird

  Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

  Watanzania twafahamika kwa upole na kutokuwa na fujo tuingiapo nchi za wenzetuu, pia baada ya safari za ugenini wengi wetu hurejea TZ na kutobaki ugaibuni changamoto ni wale wanafanya shughuli zile za unga ndo wanashusha thamani ya mama Tanzania
 10. Lovebird

  Pata hadithi mbalimbali za zamani hapa

  4. Adili na Nduguzee 5. Mpiga filimbi wa hamelini (yaani kisiasa kukiwa na mada nzito...jamaa wanapiga filimbi kuzusha jambo jingini ili kutuhamisha kimawazo)
 11. Lovebird

  Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

  Jitahidi usome ukiwa chini ya 30 yrs Uwe na mji wako kabla ya kuvuka 35yrs Jitahidi uoe/uolewe ukiwa chini ya 30 yrs Jitahidi uwekezaji ukiwa chini ya 40 yrs Jitahidi ufanye yote ya ujana kabla ya kuingia kwa ndoa etc Mengi yanasemwa ila Nionavyo yote ni mipango na Mungu ndiye akuwezeshae katika...
 12. Lovebird

  Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

  sukari ya Scolla Mollel imezidi ya Philomena.
 13. Lovebird

  Mbona Bunge limevurugika?

  huenda mwenda zake amewatokea wameanza kunena vya kweli
 14. Lovebird

  Kanisa kuu la MT. Patriki Morogoro ondoeni haya mapungufu

  ...Sara (sala) ...hawajazikalili Sara (hawajazikariri sala)... unapokosoa ukumbuke nawe sio mkamilifu
Top Bottom