Recent content by LOVE U JF

  1. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  2. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Nimekusoma mkuu . Wabongo tusimame ktk haki hizi dini tulizoletewa ni mtego tu waliotuletea wenyewe wanatucheka
  3. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    yule waliompa kazi baada yakuona haendi kwa speed yao wameamua kumu Savimbi
  4. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    Kumbe utani nilijua uko like serious
  5. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Nani aliyekuja na hoja ya Israel ni taifa teule la Mungu?

    Upotoshaji tu danganya jinga MUNGU ni wetu sote kwanini huamini hivyo au na wewe ni muisraeli?
  6. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    Mnautetea umagharibi yaani marekani awe super power haiwezekani dunia ili iwe salama bora mchina na mrusi wawe juu afrika pia ipumue
  7. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Mbona unawapangia Iran maisha na jinsi ya kujilinda
  8. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Picha la Kutisha: Huyu ndo Netanyahu?

    Kimewakuta kitu kizito hadi anayemkubali huyu nyata nyau yaani kagame naye mkataba na congo umempeleka jehanamu acha wapite vizazi vyetu viishi kwa amani
  9. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Mbona unaleta udini wakati Iran anapigania haki , sisi syo waislam lakin tuko na Iran maana kavamiwa hizi dini uliletewa kimtego amka
  10. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Nafurahi kuona komenti zote zinapinga ulagharibi hakika hii ni generation Traole
  11. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Nani aliyekuja na hoja ya Israel ni taifa teule la Mungu?

    Lilikua taifa la BWANA enzi hizo siyo kwa kizazi hiki cha kina nyau wanywa damu
  12. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Yote kwayote nakula bia baada ya ibwa kagame toka ikufe
  13. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

    Hii story nimeisoma 2025 nime ifurahia hakika kongole sana kwako ndugu Mr mcTobby
Back
Top Bottom