Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

Israel anaomba warabu wa Gulf states wampe pesa anawambia Iran ni adui yao wote wawili na wao ndio wamemsababisha aingie vita hahaha. Analia eti kwa siku anapoteza 400 Million US $

Sidhani kama Kuwait na Oman watampa pesa labda hao UAE, Qatar, Saud Arabia na Baharain
Jamaa wameshachanganyikiwa kwa vipigo wanavyopata kutoka Iran 🤣🤣🤣
 
Mkuu jiandae,kuna yahudi wa jf humu,watakushambulia kwa maneno,nakushauri tu wavumilie wakianza mashambulizi, maana ni kawaida yao,
Wameshafika nimewaona mkuu. Ila wamenywea kwa sababu ya kipigo wanachopata kutoka kwa waajemi 🤣🤣🤣
 
Marekani anafaidi nini kwa Israel?
Kajaza kambi zake za jeshi, anachota gesi katika maeneo ambayo hapo kabla yalikuwa ni ya wapalestina, mafuta anayokusanya kutoka Iraq, Syria, Kuwait nk yanakusanyiwa Israel na kupelekwa Marekani kila siku.
 
Mkibanwa mapumb* na mhayahudi ndio mnakuja na hizi hoja. Wakati Hitler anawachoma mayahudi huyo Marekani alikuwa wapi asiwasaidie. Someni vitabu acheni story za vijiwe vya kahawa.
 
Sasa hivi ni zamu yake Yahudi kuminywa pumbu, na Muajemi amemwamimbia Urusi siihitaji msaada nnammudu huyu. Nilimtafuta siku nyingi leo kaingia kwenye 18.
 
Na Hezzbolla mlisema pia kaingia kwenye 18. Haya maneno sio mageni mjini.
 
Mkibanwa mapumb* na mhayahudi ndio mnakuja na hizi hoja. Wakati Hitler anawachoma mayahudi huyo Marekani alikuwa wapi asiwasaidie. Someni vitabu acheni story za vijiwe vya kahawa.
Mbona wewe uliesoma vitabu unaonesha hujui ulichokisoma!
 
Sasa hivi ni zamu yake Yahudi kuminywa pumbu, na Muajemi amemwamimbia Urusi siihitaji msaada nnammudu huyu. Nilimtafuta siku nyingi leo kaingia kwenye 18.
Siku hizi wayahudi wanapigwa kama ngoma 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom