Recent content by lotus

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada-Mjenzi wa nyumba

    Mwanza, natafuta mtu akatakaye nisaidia kuanza mwanzo kabisa mie na kiwanja
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada-Mjenzi wa nyumba

    Naomba anayejua kampuni aminifu ya ujezi wa nyumba anijulishe . Asanteni
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kama nitakufa hapa Seleani Hospital kwa maumivu niliyopata jana msife moyo endeleeni kupambana,

    Kwa kusoma comments nyingine humu naelewa kwanini elimu inaendelea kuwa duni ..inarahisisha kutawala bila vikwazo ..
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    CCM mshapewa jukwaa la kubadilisha mwanendo...come clean & take responsibilty and change , danganya toto ishapitwa na wakati
  5. L

    JamiiForums Tanzania DOUBLE STANDARDS ZA CHADEMA, Lwakatare angekuwa kiongozi wa CCM wangeandamana kushinikiza ajiuzuru

    Daa ...inaonyesha uliipenda sana chadema ..umeumizwaaa saana kufukuzwa ...kila kukicha CHadema chadema ...wote watu wazima tuna akili za kuchangua right or wrong ..Get over it !!!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hivi upinzani Ni kupinga kila kitu? Wachina kuwekeza Nchini Ni juhudi za Serikali kuvutia wawekezaji

    "An idiot is eloquent when he stays silent"
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    my thoughts exactly ..
  8. L

    JamiiForums Tanzania Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

    kadi Ngapi zimerudishwa Ngapi zimechapishwa ..najali kujua unapanga kuchangia kivipi kimaendeleo ? . Kadi nikaratasi za rangi za twawezafungia mihogo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mapacha wenye vipaji maalumu wa Ngorongoro wanaosoma Harvard

    I'm not hating ..mmh wao madakitari..wao m wao ma astronauts na NASA wao wao wana miaka ishirini ...na wametoka loliondo kwa babu ....Im just saying
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete debunked

    on Point !
  11. L

    JamiiForums Tanzania JK ameuliza: Nani asiyejua kuwa watoto wanafeli, maji Kimara hakuna, reli hakuna?

    sasa wewe kama raisi wa NCHI umechukua hatua gani au utachukua hatua gani?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanyama wasitugombanishe...

    Ahh nini kuuana Kisa nyama imechinjwa na nani ? Waweka vibao mabutchani ..ipi halal ipi sio mtucachague yaishe . Kunaishu muhimu za kufanya kujenga taifa letu zaidi ya nyama kachinja nani . Siku zote hizo ilikuaje ?
Back
Top Bottom