Recent content by Lost soul

  1. Lost soul

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Wacha makasiriko wewe! Kwa mwaka unakula 2.6 siyo?? Ukiumia sana na mafanikio ya watu bora Unywe maji ulale.
  2. Lost soul

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Ukipita kaburini unakunja vidole visije kunyookea kwenye kaburi, marehemu akutokee usiku.
  3. Lost soul

    Nina mtaji wa Million 4 nataka kufanya biashara ya dhahabu ila sijui chochote kuhusu dhahabu

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season Thread startermcrounmj Start dateMay 9, 2021 Tagsdhahabu january
  4. Lost soul

    Nina mtaji wa Million 4 nataka kufanya biashara ya dhahabu ila sijui chochote kuhusu dhahabu

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season Huu uzi upo humu unamadini ya kutosha kuhusiana na biashara ya dhahabu
  5. Lost soul

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    Nimeshaweka kambi mkuu,kusubiri mrejesho😃
  6. Lost soul

    Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Ungetuwekea ma ka clip kafupi ka kusaport taarifa. Hata hivyo kwa wahindi, waarabu ni kawaida, kufanya matambiko kabla ya kazi, Humwaga mchele, ulezi, kupasua nazi, au kumwaga chumvi za mawe.
  7. Lost soul

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Aisee pole sana, watu wa namna hiyo kuendelea wakiwa wenyewe au ukiwa nao ni ndoto! Wao wanaishi kuvuta pumzi ya Mungu tuu. Ili ufanikishe jambo lako, ni vyema uongeze mtaji kwa kutumia watu wa mbali, wanaojua maana ya kazi.
  8. Lost soul

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Etiii siyo nini ni nini vile?🤣
  9. Lost soul

    True Crime Thread: Updated Regularly

    Hata kumsakama marehemu pia ni ugonjwa mbaya sana
  10. Lost soul

    Natafuta soko la Vanila Tanzania

    Watafute wale wanunuzi wa million moja kg. Vanilla sijui nini nini.
  11. Lost soul

    Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

    Naunga mkono zoezi la kusafisha na kupangilia miji! Lakini wanapitiliza, emagine wanang'oa mpaka vivuli vya magari.
  12. Lost soul

    This is too much! Unyanyasaji huu wa kituo cha Polisi Murieti

    Nyoosha maelezo bwana wee! Police wamekuna kukagua vyoo kama nani?? Kwenye ofisi ya kata hakuna kitengo cha afya na ukaguzi wa mazingira?? Police walipofika walisema wamekuja kufanya nini? Nyumba ya aina gani hiyo mpaka muwe na matundu zaidi ya moja ya choo?? Nakushauri ulizia vizuri chanzo cha...
  13. Lost soul

    Jinsi nilivyonyanyuka tena baada ya kuanguka kimaisha

    Hongera sana, Usiache kilimo hiyo ndiyo nguzo yako.
  14. Lost soul

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Inatosha kabisa, bati, dirisha na milango, VINGINE utaendelea kumalizia taratibu.
Back
Top Bottom