Habari Wakuu!
Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila bado tatizo ni lilelile!
Msaada tafadhali.
Kuna rafiki angu ali apply
Nimetoka mpigia sahivi kumuuliza vipi umefanikiwa? Akanijibu kwamba yeye kitambo sana ashatoboa akanambia kwamba majina yalijadiliwa then yakarudishwa! Yeye aliambiwa tu ajiandae tu na mchakato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.