Wanajamii,
Naomba nitoe niliyoyasikia kuhusu utafiti uliofanywa na Mhadhiri wa Chuo cha ESAMI chenye makao yake mjini Arusha. Utafiti wake ulihusu Tanzania na Botswana katika sekta ya uchimbaji madini na jinsi makampuni haya makubwa yanavyokwepa kulipa kodi kwa kisingizio cha hasara. Najua...
Wana jamiii,,,naombeni mwenye taarifa zozote za wapi Bajaji used kutoka nje zinauzwa. Nataka bajaji used ambayo iko katika hali nzuri kwa ajili ya kufanyia biashara. Mtaji wangu sii zaidi ya milioni3. Ila kama nitapata nzuri zaidi nikaongeza kidogo sawa. Nikipata hata 2 nitashukuru zaidi. Msaada...
Wataalam wa Magari, Jf.
Naombeni ushauri wenu kuhusu convinient Family Car. Nataka gari ya familia ya watu 7,,, itakayokithi mahitaji yangu. Nimekuwa nikifuatilia magari haya, Gaia, Picnic na Ipsum. Naombeni ushauri kati ya hizo,,,au na nyingine ambayo sijaitaja,,,,ipi ni bora na yenye matumizi...
Mi nadhani hamjamuelewa mtoa mada,,,hoja hapa ni usiri na wala sio tukio lenyewe la kupumua. Kama utakuwa na mpz wako usiku kucha na wakati mwingine muda mrefu wa mchan,,na hajawahi kusikia ukipumua,,,wakati kupumua ni jambo la lazima,,,basi utakuwa unamficha mengi zaidi ya hilo la...
Naomba nitoe tena tangazo hapa kwa wenye taarifa zaauzaji wa Bajaji used kutoka nje. Nasema kutoka nje kwa sababu za hapa bongo zinakuwa zimechoka sana. Ila kama kuna anaeuza ya kwake hapa bongo na iko katika hali nzuri,,,imetumika chini ya mwaka mmoja basi ani inbox kwa mawasiliano zaidi.
Wazee vipi kuhusu bajaji used. Kuna wauzaji rasmi kama ilivyo kwa magari? Au hiyo mpaka umpate mmiliki anaeuza ya kwake? Binafsi natafuta used 2 lakini ziwe katika hali nzurii
Mkuu nimeona tangazo lako,,,ila sijajua kama simu zako zina support 4G,,,mfano,,nataka simu ya Sumsung,,,bei isizidi laki5 iwe knasupport 4G,,,na iwe na screen kubwa,,,ushauri tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.