Mkuu nipe kidogo uzuri wa note 5 maana huko mbeleni nawaza.kuchukua hiyo makitu.Duuh hela niliyotumia kununua note 5 vichenji vingi sana vingebaki
Mkuu nimeona tangazo lako,,,ila sijajua kama simu zako zina support 4G,,,mfano,,nataka simu ya Sumsung,,,bei isizidi laki5 iwe knasupport 4G,,,na iwe na screen kubwa,,,ushauri tafadhaliFor more info and details nichek kwenye namba yang plse, 0654776976
Unawezanunua Samsung A7, J7 inayotumia 4G au hata Note 3, ile model ya 9005 ambayo ni OG na inasupport 4G, kwa maelezo zaid nichek 0654776976Mkuu nimeona tangazo lako,,,ila sijajua kama simu zako zina support 4G,,,mfano,,nataka simu ya Sumsung,,,bei isizidi laki5 iwe knasupport 4G,,,na iwe na screen kubwa,,,ushauri tafadhali