Recent content by lorine

  1. lorine

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    Kwa mtazamo wangu nikwamba mazoea ndiyo yanayotuaribia pia naubunifu.kama umefanya uchunguzi wenzetu wenye ngozi nyeupe unawakuta wanazeeka wakiwa bado unawaona wanapendana.1.Mazingira miaka mitatu hiyohiyo chumba hikohiko kitanda hikohiko kilipo geukia kulia ni hapohapo kwa hiyo mwanaume anaona...
  2. lorine

    Mabinti na kazi

    Mimi mgeni maeneo hayo makubwa
  3. lorine

    Je ni lazima kuwa na mchepuko katika wakati fulani wa ndoa? Hii hapa ya kwangu

    Kweli muombe mungu atakusaidia pia kumuwaza pia usikubali aje kwako tafuta sababu nyingine tu ndugu nihayo tu
  4. lorine

    Je ni lazima kuwa na mchepuko katika wakati fulani wa ndoa? Hii hapa ya kwangu

    Nikweli unaweza kutunza ndoa bila mchepuko kwa kufua yafuatayo la kwanza uwe mcha Mungu unapokuwa na hofu ya mungu vitu kama hivyo haviwezi kupata nafasi pia amini huyo mke au mume nimzuri kuliko mwanamke au mwanaume yeyote duniani.lakini pia kumbuka kila siku wanawake kwa waume wazuri...
  5. lorine

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Charge controller umuhimu wake ni kuratibu hali ya umeme unaotoka kwenye solar panel usizidi kiwango kinachotakiwa kujaza betri, pia kuratibu umeme unaotoka kwenye betri usitumike chini ya kiwango kilichpkusudiwa(kila betri ina viwango vyake vya kuingiza umeme na kuijaza pamoja na kiwango cha...
  6. lorine

    Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    Tatizo la CHF nikwamba mfano umejiandikishia temeke alafu ukapata safari ukaenda labda arusha ukafika arusha ukaumwa ukionyesha kadi ya CHF ya temeke wanakwambia hawaitambui sasa cjui tufanyenini wanainchi
Back
Top Bottom