Recent content by Lord genesis

  1. Lord genesis

    Mambo yaliyopita na yajayo yote ni taswira zijengekazo katika fikra ambazo si hai

    Ukijifunza kuudadisi kwa undani na kwa muono usio na attachment wala judgement msongo wako wa mawazo si kitu ambacho kipo kwenye uwepo, coz uwepo wako na kipindi ambacho unathibitishwa ya kuwa upo ni SASA (NOW). Lakini ukiichunguza stress yoyote iliyomo kichwani mwako utagundua ni msongamano wa...
  2. Lord genesis

    Dini zinamtenganisha mtu na utambulisho wake wa uungu matokeo yake ni nusu mtu

    Usahihi ni mtazamo wa mtu waweza kuona si sahihi kwengine likawa sahihi. Usahihi is not universal perceived
  3. Lord genesis

    Dini zinamtenganisha mtu na utambulisho wake wa uungu matokeo yake ni nusu mtu

    Napenda sana kujifunza hii sio vita napenda kuelekezwa sana tu ila saaa maana na neno ni vitu tofauti kabisa mm kuna maana nailenga kwa kutumia neno ROHO.
  4. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Unastress wewe bibi
  5. Lord genesis

    Dini zinamtenganisha mtu na utambulisho wake wa uungu matokeo yake ni nusu mtu

    Maneno si maana na maana si neno waweza kulitumia vyovyote kwa maana iliyomo kichwani mwako. Mfano. "Moyo wangu umefurahi" kwa maana ya moja kwa moja moyo ni kiungo tu kilichopo mwilini hakina hisia yoyote ya kufurahi. Umeelewa nadhani
  6. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Hayo yote nayajua na nimeyafanya ujasiliamali sana ndugu, hapa nilipo nipo kagera ila home ni DSM kilichonileta huku ni dagaa, nilikuwa natoa dagaa huku natuma bongo. kwa bahati mbaya mwezi wa saba ilitokea ajali ya mashua kutoka kelebe kuja bukoba mjini ilizama na gunia zangu za dagaa mpaka leo...
  7. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Hayo yote nayajua na nimeyafanya ujasiliamali sana ndugu, hapa nilipo nipo kagera, ila home ni DSM kilichonileta huku ni dagaa nilikuwa natoa dagaa huku natuma bongo kwa bahati mbaya mwezi wa saba ilitokea ajali ya mashua kutoka kelebe kuja bukoba mjini ilizama na gunia zangu za dagaa mpaka leo...
  8. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Mkuu unajua usilolipitia huwezi kulijua huyo mama kaset akili yake kwenye vijana wazembe wanaokaa wakisubir ajira kumbe kuna ambao tumejaribu kujiajiri tukakomaa ila mifumo ya nchin kwetu imetuangusha tena sio mara moja. Ukiona simba nakula majani ujue nimekosa hata sungura wa kumuwinda
  9. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Usilolijua usiku wa giza unadhani nimekaa tu toka mwaka huo, nshapambana sana na kujiajiri ila changamoto na mifumo haijakaa kutusapoti sio kila anaefeli ni mzembe bi mkubwa.
  10. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Naweza nikafanya kazi kwenye NGO'S, pia kwenye mashirika yanayojihusisha na social security kama NHIF etc, pia naweza pia kufanya kazi kwenye sector za afya kama msimamizi wa sera za afya.. field nilifanya Hospitali ya Temeke DSM.
  11. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Kiongozi mi mshahara sio tatizo nataka kujikimu tu ila ninausongo na kazi maana kukaa na madini alafu yawe useless inaniumiza
  12. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Nimemaliza tokea 2019 ila nilimuacha akiwa kaimu kwenye idara
  13. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Ni shida sana mtaa mgumu
  14. Lord genesis

    Nimesoma Sociology, natafuta kazi

    Kwa sasa nipo kagera ila naweza kuja popote ilimradi nipate kazi tu ndugu
Back
Top Bottom