Nimesoma Sociology, natafuta kazi

Nimesoma Sociology, natafuta kazi

Ebanaaaa eeeh
Mbona kitaa kinatisha


Kuna mzee mmoja aliniambia ajira ziko chuo.
Kabla hujatoka chuo hakikisha umepata kazi.
Chekecha akili yako,usijifungie hostel.
Fursa ukiwa chuoni ni nyingi ila ukitoka hazionekani tena.


Sasa ndo naelewa maana yake....
 
Ebanaaaa eeeh
Mbona kitaa kinatisha


Kuna mzee mmoja aliniambia ajira ziko chuo.
Kabla hujatoka chuo hakikisha umepata kazi.
Chekecha akili yako,usijifungie hostel.
Fursa ukiwa chuoni ni nyingi ila ukitoka hazionekani tena.


Sasa ndo naelewa maana yake....
Ni shida sana mtaa mgumu
 
Ebanaaaa eeeh
Mbona kitaa kinatisha


Kuna mzee mmoja aliniambia ajira ziko chuo.
Kabla hujatoka chuo hakikisha umepata kazi.
Chekecha akili yako,usijifungie hostel.
Fursa ukiwa chuoni ni nyingi ila ukitoka hazionekani tena.


Sasa ndo naelewa maana yake....
Tatizo pia kupata kazi sio kumaliza wengi walipata kazi na sasa hawana, kuomba Anita ni kitu endless miaka ya sasa unless uajiriwe serikalini
 
Nipo nazungukazunguka na CV yangu, nimehitimu degree ya sociology mwaka 2019 chuo kikuu cha Dodoma( UDOM), mpaka leo nasugua benchi, nikipata nafasi yoyote hata iwe ndogo nitapiga kazi kwa kujituma sana, nipeni mchongo wakuu jamani.

Phone no. 0656639431

Uliambiwa kisomo chako unaweza kufanya kazi zipi? Au field ulienda wapi?
 
Kwa sababu amemaliza 2019 mpaka sahv hajapata kazi na ana degree
Akili za kijinga hizo, mjukuu wangu juzi alikuwa livu za shule na kafanya kazi na yeye ni form 3 na hajashikwa mkono na mtu. Kaenda sehemu kakuta wanajenga kiwanda kauliza kazi ya saidia fundi, akaambiwa utaweza dogo? Akawaambia naweza kazi ya kusaidia mafindi welding, au carpentry, nisichoweza ni kazi ya kubeba na kukoroga zege.
Wakamwambia njoo kesho saa moja na nusu asubuhi, fundi welding na fundi mbao watakuwepo, kwenda kweli kaula mzigo wa saidia fundi.

Sasa huyo kasoma "sociology" anashindwa hata kuanzisha kijiwe cha kahawa tokea mwaka 2019 mpaka leo? Na ndiyo sehemu za ku "socialize" hizo?

Atakuwa ni poyoyo tu huyo.
 
Usikae bila kufanya hata ujasiliamali mdogo wakati ukisubiria kuokota ajira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom