Hongera kwa kupambana ktk ufugaji; hakuna kuku anaetaga mara mbili kwa siku wachunguze vizuri kuku wako. Kuhusu tatizo la kunywa mayai waweza kuwakata midomo hasa ile ya juu, na kwa habari ya mayai kuwa tepetepe nunua chokaa na dcp changanya na chakula chao unachowapa kama vile pumba au mashudu...
Hii komenti ndefu sana, hebu edit, ifupishe niipitie! unakumbuka lile zoezi la "fupisha habari ifuatayo?" .....haya hebu lifanyie kazi hapo halafu nitarudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.