Recent content by loosimingori

  1. L

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    walikua refugees naona UNHCR wameamua kuwarudisha makwao! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    dah we jamaa ni full comedian kule kwenye uzi wa manure unawapiga biti kuwa leo liva atawapiga kipigo cha mbwa mwizi huku kwetu naye unatuambia kuwa kwa manure leo hatuchomoki nimegundua kuwa huna jipya zaidi ya kupandikiza hofu kwa manure and livapool fans Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    nimependa sana ulivyokuwa calm kwa alivyokuchokoza! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Kama umeoa au unaishi na mwanamke uliyekutana naye kwenye mazingira haya basi andika maumivu sana

    mtoa mada unauhakika gani na hayo usemayo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Natafuta rafiki wa kike

    dah nina bahati mbaya sana,cjui kwanini leo nipo babati Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Haya ndiyo maneno ya ziada tuliyoongea na shetani kule bustanini

    Hivi ni wanawake wote waliambiwa hayo, au ni wewe tu? Huyu niliyenaye nahisi hakuambiwa hayo! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

    kwa hii reply yako umeua kabisa m-baba Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa mtazamo wangu hii ratiba ni rafiki kwetu kwani sina hakika kama nguvu wanazotumia wachezaji wa timu hizo wanapokutana na city wataweza kuzimaintain wanapokutana na sisi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Eeh Mwenyezi Mungu kwa niaba ya mashabiki wa LFC nakuomba utuepushe na kikombe kinachowapitia sasa hivi wapinzani wetu watatu wa karibu kwenye mbio za ubingwa wa EPL Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    jamaa hawapo kabisa na mbaya zaidi hawana permanent address cjui tutawapata wapi wallah! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    well done wolves msingeshinda leo ingekuwa aibu kwenu ila mjiandae kwa kichapo kesho kutwa hapo anfield! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    wolves walipaswa kushinda hii game provided that red card ya ederson ilikuwa ya mapema mno! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    hivi ni kweli kuwa bikra huwa zinatoka zenyewe zikikaa sana? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    if you want to stop vardy just stop supply of the ball to him,kwa hili vijana wetu walifanikiwa mno hongereni kwa ushindi mashabiki wenzangu wa LFC! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

    hivi samehe saba mara sabini ukiifanya saidia rafikiyo saba mara sabini inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom