Recent content by lookatmenow

  1. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal - Tutorial Assistance, nikapply kazi inaniambia 'Job Application failed because Your Profile is incomplete'

    GPA nzuri, toka huko. Think out of the box GPA nzuri, toka huko, una nafasi kubwa zaidi kuliko unachohangaikia sasa.
  2. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Kuna yeyote aliyeshuhudia?
  3. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

    manengelo, Mkuu nimependa honesty uliyoeleza kuhusu changamoto ya masoko, na mimi ni mmoja wa wahanga. Swali langu, unawezaje kutengeneza laki 3 kwa siku? Nishirikishe specifically unachofanya na mtaji ulionao, waweza nisaidia kujikwamua kimaisha. PM kama hutojali. Shukrani
  4. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Mkuu Nyanya March haitouzika? Vp kuhusu Janauary na February 2020?
  5. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Wamerekani wadaiwa kutoroka usiku wa manane kisa TRA

    Mkoa wa Iringa Mkuu?
  6. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kampuni gani?
  7. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Tipper, Jiefang ( CA141) Inauzwa. Gari lipo Mwanza town. linafanya kazi

    Tipper, Jiefang ( CA141) Inauzwa. Gari lipo Mwanza mjini. linafanya kazi. PM ukihitaji
  8. lookatmenow

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Written off Nissan Xtrail for sale

    written off Nissan x-trail sport for sale, model No. JN1TANT, 2002 , manual transmission ,not damaged from wind screen to rear door, location Kawe Round about DSM. price Negotiable. interested? PM
Back
Top Bottom