#IRAN KILICHO NYUMA YA MAANDAMANO DHIDI YA HIJABU NCHINI IRAN.
Mnano tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2022 kilitokea kifo cha bint Mahsa Amin
Amefariki akiwa katika kituo cha polis mjiji Tehran na akiwa mikononi mwa polisi wa maadili wa Iran
Kosa la bint huyu ni kutovaa hijabu katika maisha jumla(...
Speaker wa bunge la jamhuri ya Tanzania Dr Tulia Akson, leo tarehe 3. 10. 2022 alipokuwa anaongea katika kikao na vijana wa CCM amewasisitiza kwamba ikiwa kuna mtu yeyote atakaye msema raisi Samia Suluh vibaya basi wana wajibu wa kudeal naye sambamba.
Speaker tulia kauli hii ni ya uchochezi na...
kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.