Mkuu kumbuka wewe bado ni 'member' humu ndani,,
Punguza spidi,shusha pumzi kwanza uusome upepo wa humu ndani,,,
Kwanza jifunze jinsi ya kishi humu,,,,
Jinsi ya kuchangia,,,,,,
Majukwaa ya saiz itakayokufaa,,,,,,,
Watu wa kwenda nao LIGI,,,,,,,,
MODERATOTS wanataka nini,,,,,,,
Kusifu kupo,mbona hili Taifa limekuwa la kusifu hivi!!
Hujasema kwanini tumfanyie Max kama wewe ulivyoyotaka,,
Uzi umeisha ama kuna part 2 yake???
Kama una haraka ya kushindwa kuandika mengi humu basi kubali kuiywa "mpenzi msoma comment kama"
monde arabe mzee wa 'noma sana'