Anastahili pongezi nyingi sana sanakama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo
Kwenye hilo kundi la waoga, mbona kama umejiondoa na huku una ID fake?kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo
bado yupo sana mkuu ni ww humuoni ila kabadilika kwa kiasi flaniHana lolote mjinga tu , alipowekwa ndani na kuvalishwa msuli kwa miezi kadhaa ametoka kawa wabaridddiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, umewahi kunmsikia tena tangu katolewa ndani? Sikuhizi ni kijana wa hovyo kama steve misiba tu(steve mengele) nyerere
We upo au haupo kweny hili kundi?kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania
Hujui kuwa naye ni muoga?kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujui kuwa naye ni muoga?
Akitaka kuingia ule uzi wa KULA KIMASIHARA na kuchangia ana ka id chake fake cha kuchangia kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maxence Melo
Okmimi sipo
Bro tangu mwanzo wa uhuru wenye akili hawakutakiwa kwenye system bali yanajazwa mabogaz tu.Huyo jamaa Serikali ingemtumia kutengeneza site zao ziwe bora na zenye usalama wao badala ya kuwatumia watu wenye vipaji ndio wakawa wanafungulia kesi...huyu Melo ana kipaji...
Kama huyu Waziri wa fedha ndio kabisaa hakuna mtu pale ila ndio kashikiria Uchumi wetu kwa mawazo yake ya chini kabisa..Bro tangu mwanzo wa uhuru wenye akili hawakutakiwa kwenye system bali yanajazwa mabogaz tu.
Kumbuka mtu mwerevu kama Kambona alipigwa vita hadi akakimbilia uhamishoni na kubandikwa majina mabaya mabaya.
Watu kama akina Lissu wabobevu wa sheria badala ya kutumiwa wanapigwa bunduki kama tembo...Mungu akamnusuru bado akabandikwa majina mabovu.
Tanzania tumenyimwa viongozi werevu.
Kwanini sisi tu tunapewa viongozi kama oil chafu? Makapi? Mabaki ya chakula?
Hawana utashi wa kuivusha nchi japo tuna kila kitu...aaah mimi ninachukia sana asee
Huyo mtu wao kwa upande wa uharibufu.Kama huyu Waziri wa fedha ndio kabisaa hakuna mtu pale ila ndio kashikiria Uchumi wetu kwa mawazo yake ya chini kabisa..
kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo
Wewe mwenyewe huenda hii ID yako ni fake!kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, wakuu maxence melo anahitaji pongezi kwani ameweza kubeba mioyo ya vijana waoga wa kitanzania ambao wamo humu wanatumia ID fake, kutokana na kuogopa serikali yenye viongozi wa hovyo