Recent content by longobesi bombasi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hujamaa haijui Kgm,Huku watu hawachagui chama,wanachagua mchapakazi,mwenye nguvu ya utetezi ktk masuala yanayohusu jamii.Tena tofauti ya kura kati ya mshindi na Machali ni ndogo sana.Tatizo si ACT isipokuwa kujipanga kwa CCM ndiyo sababu ya ushindi wao,hata kam wote wangekuwa CDM bado wangekatwa tu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Miafrika ndivyo tulivyo?

    Nimeshaamua muda mrefu sana,kura yangu kwa mama!! No argument!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Hawa jamaa ni shida wanaweza kukuharibia ndoto zako kbsa.Acheni kufuatilia sana hii kitu maana hawatabiriki,jikiteni kwenye masuala mengne wakuu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuzikwa na wengi sio kwenda peponi

    Nimecheka sana baada ya kuliona bango la maneno ya title yako kwenye TV.."kuzikwa na wengi si kwenda peponi"...nikawaza na kuwazua nikasema watu wana mambo,eti "kuwa na nyomi kubwa si hakikisho la kukupeleka ikulu",nimecheka sana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuzikwa na wengi sio kwenda peponi

    Nimecheka sana baada ya kuliona bango la maneno ya title yako.."kuzikwa na wengi si kwenda peponi"...nikawaza na kuwazua nikasema watu wana mambo,eti "kuwa na nyomi kubwa si hakikisho la kukupeleka ikulu",nimecheka sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Iko hivi mdogo wangu.NTA level ni kirefu cha maneno NATIONAL TECHNICAL AWARD.Wahitimu wa Diploma zote wana be awarded cheti cha NTA Level 6,wale wa Digree wana NTA level 8,na cheti huwa NTA level 4..Haya mambo yasiwachanganye ukiona 6 jua ww unaenda kusoma diploma.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kozi za afya tafadhalini

    Kaka ondoa wasiwasi na usijaribu kulinganisha UDOM na Kampala.Hivi ni vyuo viwili tofauti,hoja ya msingi hapa ni hii..udom ni chuo cha serikali,kinatambulika na mamlaka zote na hakuna aliyesoma chuo cha serikali akakosa usajili wa leseni.Tatizo lililoikumba Kampala inasemakana walikuwa wanatumia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kozi za afya tafadhalini

    Sijatumia NACTE nilichukua form ya Ruaha University na tayari wao wameshatoa matokeo tangu mwez wa saba.Lkn pia niliomba kupitia NACTE nami nasubiri matokeo km ninyi wakuu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kozi za afya tafadhalini

    Maisha safari ndefu mkuu ila kuwa na malengo ni kitu cha msingi sana bila kujali umepitia wapi..Nimemaliza Diploma ya kilimo mwaka jana na nina cheti kizuri tu,lkn nimefanya utafiti,consultancy na watu mbalimbali wakanishauri bora niombe diploma za afya kwa cheti cha fm4..Leo hii ninavyo ongea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tabora Student Center: Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo

    Hawa jamaa wamethubutu angalau kuweka wagombea ubunge majimboni.Wameanza vizuri,ni ukweli kwamba huwezi walinganisha na vyama kama NLD,TLP,UDP,DP,CHAUMMA,TADEA,JAHAZ ASILIA n.k,na wakubwa zao wa sasa NCCR na CUF wamepwaya kupigania uhai wao majimboni.Tuwaache ACT wafanye yao,ndiyo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Shukrani,Tahadhari na Rai yangu baada ya mchakato wa awali kura ya Maoni Rombo

    Ben ameandika vizuri kupitia ukurasa wake wa fb,kuonesha kuwa yeye bado mwanachama mtiifu wa CDM.Ben hawezi hama,maake kaitumikia sana CDM japokuwa hana bahati ktk harakati zake.Alianzia uenyekiti BAVICHA tena mara mbili akaenguliwa,akajitosa UJUMBE wa kamati kuu jina lake likakatwa kama la...
  12. L

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    Wanaosema Machali kapotea hawajui siasa za mkoa wa Kigoma.Na wala hawajui pia nguvu ya ACT kwa sasa jimbo la Kasulu mjini,jamaa kaifagia NCCR,ameondoka na wengi na wananchi bado wanamkubali na hakika jamaa atarejea bungeni.Tatizo lenu mnapiga siasa za jf wakati wenzenu wako field!! Hamuijui Kigoma.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jk ahofia kutangaza matokeo, amkabidhi Makinda.

    Kwisha habari yake!
  14. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    Nchi hii ya majaribio kwa kweli,kila kitu ni full politics,waafrika nani aliyeturoga? Unatoa taarifa tena "press release' unasema tar 24 mambo yatakuwa wazi,kumbe uongo! Be realistic,acheni siasa tunataka utaalamu ufanye kazi in the right time as promised...nchi hii si wajinga kiasi hiki.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mnyika kwa Zitto ya Ubunge Ubungo 2010

    Siamini kama hayo ni majibu toka kwa Mnyika juu ya suala hilo.Kwanza kabisa malumbano haya hayana afya kidemokrasia na hasahasa kwa upinzani wenyewe ukitilia maanani kuwa tuko mwaka wa uchaguzi.Mnyika ana uhakika gani kama picha zinazosambazwa mitandaoni zimewekwa na Zitto?Sidhani kama Zitto...
Back
Top Bottom