longobesi bombasi
Member
- Oct 2, 2013
- 83
- 14
Kaka ondoa wasiwasi na usijaribu kulinganisha UDOM na Kampala.Hivi ni vyuo viwili tofauti,hoja ya msingi hapa ni hii..udom ni chuo cha serikali,kinatambulika na mamlaka zote na hakuna aliyesoma chuo cha serikali akakosa usajili wa leseni.Tatizo lililoikumba Kampala inasemakana walikuwa wanatumia mtaala wa Uganda ktk afya issue ambayo ilikuja kujulikana kuwa hawakuwa na usajili wa kuendesha masomo ya afya.UDOM ni serikali na NACTE ni serikali pia,kapige kitabu wala usihofu unalindwa na mamlaka za serikali.