Recent content by LONGLIFE

  1. L

    JamiiForums Tanzania SUA wataka maelezo: Kwanini wapelekewe Mwizi kuwaongoza?

    Siasa hadi kwenye Academic!!! Luhanjo tena jamani! Hivi Tanzania watu wenye busara za kuongoza hakuna au nini tena. Huyu Mzee amefanya mambo ya ajabu katika kipindi chote alichokuwa Waziri kiongozi. Alikuwa in Godfather wa mafisadi kibao .... mostly visibly mimama ya wizara ya Afya na yule...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afunguka TBC kuhusu mabomu Arusha

    My friend! wacha kutoa Mapovu... uhamasishaji wa vurugu na uchu wa madaraka kwa njia mbali mbali ikiwepo ushirikishwaji wa nyumba za dini katika mambo ya kisiasa unatupeleka pabaya. Marekani na Kenya sio mifano Mizuri ya kufuata ...kwani hali si shwari katika nchi hizo kutokana na kugrade watu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda Spika wangu kauli yako hii hukufikiria!

    My dear sister.. comments zako zinatisha... naona Povu zinakutoka ...kama ni mwanamke wa kawaida neno ''NGONO'' huwa ni dhihaka ya mwisho kwa mwanamke mwenzio... kibaya zaidi comments zako zinatambulisha uelewa na wasifu wako kuwa ni mmoja wa wale walioanzisha, kuchochea udini na wenye nia na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

    My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
  5. L

    JamiiForums Tanzania Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

    My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
  6. L

    JamiiForums Tanzania Denmark wagundua Dawa ya UKIMWI/HIV/AIDS, Kusambazwa punde, ARV basi

    My friend, Tatizo la lugha limekukumba... Kichwa cha habari hakiendani na kilichoandikwa. Usikurupuke!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete na Steven Masele ndani ya Shinyanga

    too much rubbish!
  8. L

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona wanaanza kazi leo!

    4 - 0 pole kwa kichapo!
Back
Top Bottom