Recent content by Lonestriker

  1. Lonestriker

    TV 1 na Kwese sports vipi

    Kwesse Sports anakuja kwa kasi, ameanza na soko la Free-to-air Tv huku akiwa njiani kuleta Pay Tv katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Nchini Tanzania ameanza kwa kufanya kazi na TV1.
  2. Lonestriker

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Labda wakipewa world Map wanaweza kutuonesha hio nchi ya Tanganyika.
  3. Lonestriker

    Kinda Mtanzania anayeichezea timu ya taifa ya Ureno U17 mwenye ndoto za kumrithi Ronaldo

    Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 basi hilo ndilo Taifa analotaka kuendelea kulichezea. Wazazi wake ambao...
  4. Lonestriker

    Mnavundika! Kwani hilo embe?

    Wakati fulani nikiwa mdogo baba yangu alirudi nyumbani na suruali nzuri sana ya dangrizi kama zawadi yangu katika sherehe yangu ya kuzaliwa zaidi ya miezi miwili mbele. Marufuku ilitoka nisijaribu kuivaa kwa namna yoyote ile kabla ya siku lengwa kuwadia. Yalikuwa mateso makubwa ya Kisaikolojia...
  5. Lonestriker

    Mkwasa, wote wataelewa tu, lugha yako ni rahisi

    Hata kabla ya matokeo mabaya wengi tulijua kufuzu kwenye kundi lenye Nigeria na Misri ni ngumu sana. Lakini wengi tulitarajia kuona mpira ukichezwa, vijana wakiwatoa jasho hao Nigeria na Misri na sio kugawa pointi bure pamoja na kupata kapu la mabao. Tumekiona hicho kwa Mkwasa.
  6. Lonestriker

    Kuelekea 12/09/2015, Angalizo Langu Kwenu

    Tusubiri Ligi Kuu ianze mbivu na mbich zijulikane.
  7. Lonestriker

    Mkwasa, wote wataelewa tu, lugha yako ni rahisi

    Shukrani kwa kusoma.
  8. Lonestriker

    Mkwasa, wote wataelewa tu, lugha yako ni rahisi

    Mkwasa ni kama kasia la kitanzania linalosafiri kwenye bahari chafu ambayo boti zenye injini za wazungu zilionekana kushiindwa. Sare mbili moja ugenini dhidi ya Uganda na inayotusumbua kila siku na moja ya nyumbani dhidi ya Nigeria zimerudisha matumaini ya wengi.
  9. Lonestriker

    Mkwasa, wote wataelewa tu, lugha yako ni rahisi

    Kufanikiwa kwenye mchezo maalum mara zote ni kitu cha kufurahisha na kuhamasisha, kufanikiwa kwenye michezo miwili ni kitu cha kipekee zaidi. Shauku ya Wanigeria wengi ilikuwa ni juu ya uwepo wa kocha wao Sunday Oliseh kutaka kufahamu ataanza vipi kibarua chake. Wakati joto kwa upande wao...
  10. Lonestriker

    Kwa Nini Timu za Tanzania Zinakwenda Uturuki?

    Uturuki wamejipanga kwenye suala la utalii wa michezo (Sports Tourism). Kutokana na kuwa kati ya mabara mawili, Asia na Ulaya na miundo mbinu mizuri timu nyingi huwependelea kuweka nchini Uturuki.
  11. Lonestriker

    Naomba msaada wa ku-convert file lililorekodiwa toka kwenye decoda kwenda kwenye AVI

    Dekoda nyingi zinarekodi kwenye mfumo wa PVR, hii ni format ngumu mno kupata converter yake. Converter nyingi tulizozea kuzipata bure online haziconvert hii format.
  12. Lonestriker

    TFF hamstahili kusamehewa ushuru vya vifaa vya michezo

    Jifunze kujielezea sio kuchanganya mambo binafsi. Tuambie ni kwa nini TFF hawastahili kupewa msamaha wa kodi. Wazungu na kampuni zao kubwa zenye pesa maradufu wanapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwa nini taasisi ya TFF isipewe? Toa hoja, sio kuleta mambo binafsi, what I do to earn a living...
  13. Lonestriker

    TFF hamstahili kusamehewa ushuru vya vifaa vya michezo

    Hoja ni ipi hasa? kama FIFA na pesa zake zote inapewa msamaha wa kadi kwenye kombe la dunia sembuse TFF! Jenga hoja acha ku-personalise issues. Hivyo viwanja vitatumiwa na umma, timu ndogo na kubwa, shule na vyuo...kwenye suala la maendeleo tusilete chuki binafsi.
  14. Lonestriker

    The Most Competitive League in the Word

    Haiwezeksni kimahesabu, lazima kuna timu zitakutana na kuharibu mahesabu ya timu za chini bila kujali matokeo.
  15. Lonestriker

    The Most Competitive League in the Word

    Nini maana ya quality? ubora wa ligi ni pamoja na ushindani au unataka kusema ni ligi yenye ushindani bila ubora? Inawezekana lakini unahitaji kutoa vigezo vipya vya ubora.
Back
Top Bottom