Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema...