Ila hizi kampeini zinazo endelea mapema hivi Sina hakika kama zinanianjema
Tulisha aminishwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika kama taifa tunatakiwa tuweke siasa pembeni ili tupate muda wa kufanya kazi za kujenga Taifa letu,
Sasa hii Habari ya kufikilia chagu za 2025 binafisi sioni...
Mkuu machinga Hana kosa, wakulaumiwa ni yule aliyewapa uhalali wa kuweka vibanda mpaka kwenye milango ya maduka kwa kigezo cha kwamba wao ndio waliompigia Kura, na ili kuhalalisha aka waletea na vitambulisho kwa malipo 20000, kwahiyo wakati tunatazama kelo zinazo sababishwa na machinga ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.