kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na...
mi Sijaona Tofauti Ya Hizo Saini, Mbona Zinafanana Tu, Herufi Kutofanana Ni Utashi Wa Mtu, Mmekosa Sababu Ya Kujenga Hoja, Au Pengine Mwalimu Alikuwa Na Harakisha Jambo Fulan Mf. Awahi Kwenye Kikao
Kuna wanaoamini kuwa mwisho wa ccm ni mwaka 2015. Hao wanajidanganya lakini lolote laweza kutokea watanzania. Hakuna dalili kuwa chama cha mapinduzi kitapoteza kiti chake cha urais kwa mara ya kwanza. Ni vigumu sana. Unajua ugumu uko wapi? Watanzania wengi bado wana imani na chama hiki kukongwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.