Recent content by login

  1. L

    JamiiForums Tanzania Fursa Singida kwa sisi Diaspora

    Umeshachelewa mama saizi mvua zinanyeesha, ila singida zaidi vitunguu vya kwa mwagilia ni kwa ajili ya kupata mbegu ni mara chache sna kulima kwa ajili ya kuvuna vitunguu, nenda maeneo ya mpambaa na ilongero watakuelekeza sehemu za kulima ila vitunguu vyenyewe vinalimwa zaidi Dominiki na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Fursa Singida kwa sisi Diaspora

    Vijiji vyote nilivyokutajia vina 3g ya Halotel na watumiaji wa internet bado ni wachache ni wachache so don't worry
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Halafu wanawake muache roho mbaya hivi hamjui kua mpo wengi sana kuliko sisi wanaume mnadhani kama kila mwanaume akibaki na mmoja hawa wengine si mpaka wanakufa watakua hawajawahi kuonja nanihiliii.... Kueni na hurumu rai yangu kwa wanaume wenzangu tuendelee na moyo huohuo wa kuwaonjesha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Fursa Singida kwa sisi Diaspora

    Sio mbali na town nikweli na bei zake pia haziachani na za town ndo maana nikashauri aende ndani zaidi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Fursa Singida kwa sisi Diaspora

    Hata singida kuna watu wanapenda vya bure na starehe pia na kumbuka maisha kwa sasa ni magumu ukiwa mtu wa totoz ndo utazika mtaji na utaanza upya, usikae singida mjini nenda vijijin kwa kuanzia unaweza kwenda vijijin kama maeneo ya Nkalakala, Mwanga Malaja Kinyambuli, anza kununua mazao...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Fursa Singida kwa sisi Diaspora

    Ila kumbuka No1 billionaire anatokea singida kwa hio acheni kusingizia mazingira mjasiriamali yeyote hutafuta mazingira yenye changamoto kubuni fursa karibu singida mkuu, ila kua makini na aina ya watu utakao chagua kua nao karibu.
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Tanzania kungekua na wanaume 10 kama wewe Marekani wangekua wanakuja kuomba Masada Tz
  8. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako na Dr. Mahiga mmeonesha udhaifu wenu hadharani

    Ni bora ukaombe ushauri kwa wanganga wa kienyeji kuliko maptofesa wa tz. Njaa inafilisi akili za maprofesa wetu mungu tusaidie!
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

    Mjumbe wa amani kidogo uvuruge aman!!! Hapana endelea kua balozi wa aman bhana, pole kwa yote ubavu wako upo unakusubiri tuu haman namna muda ukifika itakua.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Mtu anayetaka kujenga Kiwanda popote nchini aje kwangu, atapata ardhi ndani ya siku 7

    angetenga siku za kukutana na wananchi wanaohitaji kuonana nae ana kwa ana ili kupunguza urasimu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wakata tiketi za mwendokasi na kutorudisha chenji kamili

    si ana mshahara?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wakata tiketi za mwendokasi na kutorudisha chenji kamili

    Asalam! Wadau kumekua na tabia ambayo inanikera sana kutoka kwa wahudumu wa mabasi ya mwendo kasi hususani wanaokatisha tiketi, mara kwa mara ninapoenda kukata tiketi kama huna pesa kamili lazima sh 50 au 150 ibaki kwa muhudumu kwa kisingizio cha kutokua na change. Tatizo zaidi ni pale unapo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Ubalozi wa Tanzania nchini Iran ulipo!!

    Mkuu ipo karibu na kituo cha palm beach , ukipanda daladala za kutoka posta kwenda makumbusho shuka palm beach upande huo huo wa kituo rudi nyuma kama hatua ishirin utaiona bendera na nembo Islamic Republic of Iran Zama ndani.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania muuza njegere na housegirl wetu, kakimbia kaniachia fuko lake la njegere

    Wa stendi huyo aliekimbia ndie anayechoraga Raman ya dunia , uliekua unamtafuta hahahhaha
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaishi kama mke na mume lakini hana mpango wa kunioa, nifanyeje?

    Mvumilivu hula mbivu vumilia mamy, inawezekana kuna vitu anavichunguza hajarudhika, we wasikilize hao wanaokwambia ondoka hasa mabinti wenzako, utamuacha halafu walio kushauri achana nae achukua nafasi!
Back
Top Bottom