Recent content by log e

  1. L

    JamiiForums Tanzania application za kuchukua coordinate za kiwanja

    habari wdau ukiachana na Google map na Google earth kuna application za kuchukua coordinate za kiwanja ambazo zinaendana na mfumo wetu wizara ya ardhi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  3. L

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    mimi nadhan waoengeze mpaka.miaka 75
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    kiukweli tuliosoma 80s,90s and early 2000 tulidundwa kisawasawa na sheria zilikuwepo na tulinyooka tulikua na nidham.lkn sasa hivi watoto hawanaga nidham na hawana maadili kabisa.nadhan viboko virejeshwe tu bila.hivyo maadili nidham zero
  5. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa sheria mtusaidie hapa

    samahani mimi nauliza kama mzazi alifariki mwanzo kabla ya mtoto mjukuu anayohaki ya kurithi pamoja na wajomba au baba zake
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Mimi navyojua ni kwamba mkataba wowote ni conset ridhaa baina ya watu parties zinazoingia mkataba any renewal of contract ni subjected to consensus ya hizo parties mbili sasa je mpangaji kama kodi imeisha alafu hajaingia makubaliano mengine kwanza huyo kashatokà kwenye status ya upangaji kwakua...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

    Humu ndani wadogo zetu na Watoto zetu wamekosa uhondo wakati wa ms dos ukiingia computer room ofisin unaambiwa vua viatu unakuta kapeti jekundu na screen ya chogo kubwa unaambiwa computer room AC za kizamani zinanguruma masaa 24 zinatakiwa zisizimwe mwendo wakujaza floppy kuhifadhi 100 kb...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

    Uko saku kuna bonded limemegukameguka vibaya sana mvua hizi
  9. L

    JamiiForums Tanzania Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    kimbunga.hidaya
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    waarab wamebaki kula teendee yakhe vidume hao hapo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba maeneo ya Vingunguti na nyumba kumeguka tofali

    Habari wadau, Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: 2025 vijikanga visiwachanganye

    uwo wimbo ss background
  13. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
Back
Top Bottom