Recent content by lodikasaji

  1. lodikasaji

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Shukran mkuu... Post sent using JamiiForums mobile app
  2. lodikasaji

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Msaada S.581/0527 ileje sek Post sent using JamiiForums mobile app
  3. lodikasaji

    Maafa Kagera: Ugali wa sumu waua mama na watoto wanne

    Pole kwa wanafamilia kwa msiba huu...
  4. lodikasaji

    Mwanafunzi udom apigwa na radi.

    anaitwa charles mfaume ni wa mwaka wa 2 b.com hrm. Hivi sasa shughuli za kuaga mwili wa marehem ndo zinaendelea...
  5. lodikasaji

    puaaaaaaaaaaa

    itabidi atumie mrija!
  6. lodikasaji

    Nokia Secret Codes

    nimejaribu kwa option ya kwanza naona imefail, niaje kuhusu hiyo ki2 ya firmware mkuu?
  7. lodikasaji

    Nokia Secret Codes

    simu yangu nokia 6600 ina tatizo la kuwa inazima na kuwaka yenyewa kama mara 3 hivi then inazima jumla, nifanyeje mkuu?
  8. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    nimekuwa teeeeeja, teja wa ZAWADIII, at least arosto imepungua... Thanx Lizzy!!
  9. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    ile nafungua page nakuta kitu zawadi juu, nikasema kilio changu kimesikika hatimaye... Kumbe ZAWADI bado yupo mapumzikoni...
  10. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    <br /> <br /> ucngizi umekataa kuja, sebuleni hakukaliki, sababu ya Zawadi...natamani kina zawadi wangeisoma na kuilewa.!
  11. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    wapi part 5 jamani... Arosto ishaanza huku!!
  12. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    dah! Zawadi yangu yazidi kunoga... Hadi hii page nimeifanya bookmark!!
  13. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    si wajua chovya chovya umaliza... So utamu wa zawadi usije isha mapema!
  14. lodikasaji

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    <br /> <br /> nikimaliza zawadi yangu ndipo nawe utapata ya kwako...
Back
Top Bottom