Mwanafunzi udom apigwa na radi.

Nawewe sasa hata jinsia unashindwa kutuambia? Ungefanya uchunguza hata kidogo ukatupasha habari maana roho zetu juu kuna ndugu na jamaa huko. Hebu jaribu kuulizia vizuri bwana.

ja, makuumbo umware huu? Uli mulaangi wa hai?
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amina.
Mvua za vuli za mwaka huu zinanyeesha kwa kiwango kikubwa ambacho hakikutegemea. maafa tayari yameripotiwa mikoa mbalimbali kama kilimanjaro, mbeya na mwanza. mungu aepushe maafa yetu yatakayosabishwa na mvua hizi kubwa zinazoendelea kunyeesha
 
anaitwa charles mfaume ni wa mwaka wa 2 b.com hrm. Hivi sasa shughuli za kuaga mwili wa marehem ndo zinaendelea...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom