Juses my lovely country..rich by looking poor by management,i am so scared about the future of yours.poor infrastructures,high rate of inflation,high interest rate.agghriuiuiii 70000 rate of allowance per day duuh ....Mungu tenda miujiza
Nauza gari aina ya Gaia 2001,imetembea km 168,000, .inauzwa kwa Tsh.7,700,000. ipo katika hali nzuri,Ac,radio,engine kila kitu smart.nipo mbeya .contact 0658190222.chech attached forder have a look on the condition of a car.
Inaonekana hata mshahara waki wa kwanza hujajuchukua wewe..kama basic salary yako ni 690,000 kwa govnmnt payrate wewe nu degree holder na payscale yako ni TGS D.1 net yako ni 458,400 .hongera wote tulianza huko..work hard
Wadau tusichoke kupeana mawazo hapa jf ndo tunapotokea tulio wengi,yeyote anayefanya kazi au alishawahi fanya kazi,ama aliye na details za Heifer intetnational.in sense of compansations and other opportunities.naenda kufanya udahili huko j3
Yap sipo mtaani nina kaz tayari,na hizo post ni za heifer international ila zilitangazwa kupitia hr soln.any one who have deeo dteils about heifer international plz.
Wadau habari.?nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili HR SOLUTION,nafasi ya Senior Administrative Officer.
Tafadhari naomba details ya hii company na status yake in payment/compensation and other social welbeing.
Na je hawa ni mawakala kama walivo Deloitte au?na kila nikipekuwa kwenye orodha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.