Gari ya shemeji
Nyumba ya shemeji
Kula kwa shemeji
Sabuni ya kufua na kuogea ya shemeji
Nguo unanunuliwa na shemeji
Halafu eti unawaponda wenzio hawana magari!!
Wewe na wao kuna tofauti gani?
Inavyoonekana huyu jamaa hakuwa na mpango wa kumwoa huyo dada, kampa mimba kazaa halafu jamaa baada ya kulipa faini kakaa kimya. Hii barua aliyoletewa ni kama kumkumbusha kuwa kakaa kimya bila kuanza mchakato wa posa na mambo mengine. Jambo la msingi hapo jamaa qtume mshenga kwenda kwa wazazi wa...
INSIDER MAN na ujanja wake wote wa kutafuna wanawake warembo wengi hakuwahi kumpata bikira ndio kwanza Erika. INSIDER nakushauri huyo dada ndio wa kuzaa nae. Mtunze sana huyo.
Nadhani hao uliowaona wewe wanafanya kazi kampuni moja, nilivyoelewa mimi ni kwamba kwa wale ambao ni wachina ila kila moja kaja kwa hamsini zake, na wakikutana huku kwetu hakuna kujuana kwa kuwa kila moja kaja kwa shughuli yake. Tofauti na sisi watanzania tukikutana nchi za wenzetu ndio ndugu...
Baba Iryn ni kaburu lakini yeye sio m'baguzi , mtoto wake wa kwanza Scott kazaa na mswahili ( kwa maana ya mweusi) na Iryn mamake ni mweusi kwa hiyo hana baya na wanawake wa kiafrika.
Nilivyoelewa mimi kuumbuka kwa mleta mada ni kwamba mleta mada ana gari namba B na chakavu na binti ana gari mpya kabisa Harrier new model la 60m. Kwa tofauti hiyo lazima ajisikie mnyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.