Recent content by lmapabha

  1. lmapabha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume aziba nyeti za mkewe kwa gundi akimlazimisha amwambie idadi ya wanaume aliolala nao yeye alipokuwa safarini

    Hivi wakenya wana nn. Mbona matukio yote mabaya yapo kwao tu
  2. lmapabha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana aondoa zuio la kutoka nje (lockdown). Nchi hiyo inakuwa ya kwanza Afrika kuchukua hatua hiyo

    Huu ndo mfano wa kiongozi jinsi anavyotakiwa kuwa, na ni mhimu sana kwa kuhami uchumi wa nchi. Nana amekuwa raisi wa mfano katika bara la Afrika
  3. lmapabha

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimehamia NCCR-Mageuzi na siyo chama kingine?

    Walete walete chama ni mm na wew
  4. lmapabha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Hiyo ni lugha ya Dk, siyo ya pole pole, watakaomuelewa ni wachache, ila kaongea ukweli na wajinga hapa wamechukulia dola kama ni polisi.
  5. lmapabha

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Troy amehukumiwa miaka 14 jela kwa hatia ya kuhusika na kifo cha Mwanamuziki Mowzey Radio

    We need ammendments of murder penalt otherwise life of a person never be compersated
  6. lmapabha

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Afungiwa ndani kwa miezi miwili akiwa amefungwa minyororo baada ya kuugua ugonjwa wa akili

    Badara ya Kuwa sehemu ya kutatua tatizo unakuwa sehemu ya kuongeza lingine.familia imeshafanya jitihada za kimatibabu na ikashindwa kutokana na half ngumu.wewe kama kiogozi badala ya kuwasaidia unalalamika tu
  7. lmapabha

    JamiiForums Tanzania Pakistani rescue official: Death toll from fire on train jumps to 62, with many injured still in critical condition

    Huu ni uzembe uliopitiliza treni haina wasimamizi?.Ndo maana nampenda magufuri mchukua hatua
Back
Top Bottom