Recent content by LJJ

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

    Umeongea ukweli sana. Wasiojua watakataa 2 uyasemayo.Big up lara 1. Mwenye macho haambiwi ona.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nafuta partner (consultancy career)

    Hongera mkuu kwa wazo zuri. Karibu kwenye field.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naomba mawasiliano yako niweze kuongea nawe mtaalamu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nahitaji kufuga kuku wa mayai.Vifaranga wapi wazuri na wanaosthili magonjwa?
  5. L

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview Chemonics

    Wakishinda tenda toka DFID katikati ya mwezi wa 1 ,basi filimbi itapigwa ajili ya mikataba.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuhama kazi ofisini ni Wengi Kama graduates wanaotafuta kazi

    Kumbukeni "Kazi ni Mbaya Ukiwa nayo"
  7. L

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview Chemonics

    Mie nilituma CV na Cover letter tar 21 November 2012.Wakanita kwenye interview siku hiyohiyo. Interview ilifanyika Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro tar 22 Nov 2012. Panga CV yako vizuri na Cover letter watakuita tu. .
  8. L

    JamiiForums Tanzania kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Safi sana Mkuu.Hayo ndo matunda ya Shule tunayoyataka. Nawatakia kila la kheri katika kuanza mchakato huo.Na wengine anzisheni mikoa mingine please.Nipo tayari kuchangia wazo la biashara.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Please help me on how to write a cover Letter

    Kweli kaka bila Stong cover letter na Strong CV utaishia Kulalamika.Weka hapo email yako nikutumie sample za Cover letter
  10. L

    JamiiForums Tanzania Please help me on how to write a cover Letter

    Kweli kaka bila Stong cover letter na Strong TV utaishia Kulalamika.Weka hapo email yako nikutumie sample za Cover letter.
  11. L

    JamiiForums Tanzania M-pesa, tigo-pesa, airtel-money.

    Nahitaji laini ya tigo Pesa.Wasiliana nami kwa 0718 493 346
Back
Top Bottom