kuitwa interview Chemonics

Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
124
wanabodi hawa jamaa wa Chemonics walitangaza kazi kama kuna mtu ameitwa kwenye intetview basi ni vema tutaarifiane. kama unavyojua usipofanikiwa hupewi taarifa hivyo taarifa yako itatupa habari kuwa tayari watu wameitwa. asante
 
Please kama umeitwa kwenye interview please tupeane habari kwani itatusaidi na sisi kujua kuwa tumekosa hivyo kuendelea na kutafuta sehemu nyingine
 
Mie nilituma CV na Cover letter tar 21 November 2012.Wakanita kwenye interview siku hiyohiyo. Interview ilifanyika Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro tar 22 Nov 2012.
Panga CV yako vizuri na Cover letter watakuita tu.
.
 
Mkuu hawa jamaa post walizokuwa wamezitangaza zinategemea kupitishwa kwa proposal yao ya kufanya mradi mkubwa hapa nchini kutoka USAID na nadhani itakuwa imepitishwa kuanzia January,2013.Kuna nafasi za kuanzia chache ambazo walifanya interview kwa watu mfano kama mimi nilipigiwa simu ninaishi nje ya Dar so wakanifanyia telephone interview na wakaniambia wangenijulisha kama ninaendelea na awamu ya pili ya face to face interview au vipi.Hili ni juma la pili sasa wako kimya.Nadhani tuendelee kusubiri na tukipata update yoyote tutataarifiana.
 
Sasa wewe junior member..vp baada ya kufanya usahili ikawaje..?? feedback walisema watakupa lini..manake hata mimi nafukuzia sema nilikuwa nje na internet ilikuwa low so ckuweza kufanya telephon interview....
 
Wakishinda tenda toka DFID katikati ya mwezi wa 1 ,basi filimbi itapigwa ajili ya mikataba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom