Recent content by lizzy3639

  1. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania NIDA, nani anawaangalia utoaji wa vitambulisho vya uraia?

    Swali la msingi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ndio kufanyaje huko kuroot
  3. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
  4. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Ni shida gani ipo kwenye ndoa mbona wanandoa hawaonyeshani machombezo ya mapenzi?

    Na haya majina baba mariam sijui mama leyla yanamaliza swag za malavi davi
  5. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania BlueBird invitation Dar inakuletea card mpya za mialiko na free printing

    Asante sana mpenzi wa mm [emoji2]
  6. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania BlueBird invitation Dar inakuletea card mpya za mialiko na free printing

    Habari wana JF. Kwa wale wenye sherehe za harusi, kitchen party, send off na shughuli yoyote inayohitaji card za mialiko na michango Bluebird Invitations wanazo card mpya nzuri sana zinazoenda na wakati bei zao ni nzuri na kwa yule anayepeleka mteja anapata commission yake bila longo longo...
  7. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Hapa maandamano tu tarehe 26/04/2018 ndio itakuwa solution ya kuondokana na hawa washamba wawili
  8. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Nikila pilipili au kinywaji cha baridi sana napata kwikwi, je kuna madhara kiafya?

    Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu. Swali: Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa Bia inanipelekea kupata kwikwi, je kuna uhusiano gani ya vitu hivyo tajwa na kwikwi na je kiafya...
  9. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

    Funny you know
  10. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lizzy3639

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Sio waswahili. Ndio hali halisi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom