Recent content by lizNow99

1. lizNow99

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Habari mkubwa,Engine Ig Fe vvti,ac ikiwa on gari inakua nzito Sana haiaccelerate inavyotakiwa Ila ukizima Ac inakua vizuri tatizo Nini hapo?
2. lizNow99

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

[emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
3. lizNow99

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
4. lizNow99

Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Extrovert shikamoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5. lizNow99

Dereva wa Chacha Wangwe vs Dereva wa Tundu Lissu

September 7,96 tupac alipigwa risasi za ubavuni kama ilivyotokea kwa lissu zikampata lakini dereva hazikumpata so inategemea wauaji wamekaa angle gani,kwa kesi ya lissu na tupac ni vigumu dereva kufikiwa na risasi kwasababu wauaji walikua upande wa targeted person ambako ndo risasi...
6. lizNow99

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Sistaduu anapokugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Leo atataka versace na mini skirt
Kesho atataka passport
Keshokutwa atataka tiketi aende London au America
Si bora nifanye part japo sio pasaka Sent using Jamii Forums mobile app
7. lizNow99

Nani alitikisa 2pac au BIG ? tupe sababu

Tupac is on his own level man...ukifanya comparison na BIG ni kumuonea BIG Pac kamzidi vitu vingi sana notorious interms of success...impact on board n worldwide level.... Sent using Jamii Forums mobile app
8. lizNow99

Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Wonderfull wonder by Nathaniel bassey Its a classic gospel song..listen to it Sent using Jamii Forums mobile app
9. lizNow99

Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Yes its a classic Gospel song...Elijah oyelade knows how to break it down...... Sent using Jamii Forums mobile app
10. lizNow99

Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk...
11. lizNow99

Drake vs Meek Mill: Disgusting beef in the history of Rap

Nataman Tupac aje awafundishe jinsi yakuandika BEEF songs Hahahahaa waskize Hit Em Up wataelewa how to Diss.
12. lizNow99

Hivi huyu binti anaweza kuwa amenipenda au ni hisia zangu ndo zinanituma vibaya?

lakini kwa nini unatusumbua sisi? si umpigie umuulize hayo maswali? sasa sisi tukujibu kwani ndo tuliokupa namba? ebo? Hahahaahahaaaa
Back
Top Bottom