Recent content by Liwalo na Liwe

  1. Liwalo na Liwe

    GE2020 Kuna uwezekano Magufuli hatafanya kampeni Uchaguzi wa 2020

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Naitazama Tanzania ya miaka 15 mpaka 20 iliyopita. Nimejifunza na kushuhudia mengi. Tulikuwa na nchi ambayo ilikuwa na matatizo mengi na makubwa, ni ukweli ulio wazi matatizo tuliyo kuwa nayo kila mtu aliyashuhudia. Hiki kinachoitwa demokrasia leo ndo kilikuwa...
  2. Liwalo na Liwe

    ATCL kanusheni au toeni ufafanuzi juzi ya shehena ya mbuzi.

    Hadith yako nzuri, umenikumbisha enzi za sungura na fisi
  3. Liwalo na Liwe

    Ujenzi wa "Mfumo Magufuli", hatari na janga kwa taifa kuliko Rais Magufuli mwenyewe

    Nimesoma makala yako vizuri. Kweli kabisa sijaona sababu ya kukusifia, lazima niwe scientific, sifanyi hivi kwasababu ya kusapoti mabaya yanayofanyika lakini nazingatia yale uliyoandika. Umeeleza baadhi ya mapungufu ya viongozi kama ulivyoeleza lakini kwa magufuli umeweka mbele sana hisia zako...
  4. Liwalo na Liwe

    Kwenu vijana wasomi, msikubali kutumika na RC Makonda

    Jamii forums siku hizi imejaza wapika majungu wengi sana. Kila kukicha ni kuonyesha chuki tu. Mpaka itafika hatua watu watakaa kuwasema wengine. Jitu limekaa kupiga majungu tu. Kila mtu afate biznez zake, yasiyokuhusu waachie wenyewe, kila siku makonda makonda. Naona kila siku idadi ya wajinga...
  5. Liwalo na Liwe

    Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

    Wabongo tunapenda sana kulialia mitandaoni, sasa mtu kama unatamani ujumbe unaotaka ufike kwa jamii unasababu gani ya kutaka wengine wakusemee? Kama upo bright kuliko hao unaowaita wajinga kwanini huendi kupinga wewe kwenye TV? Hayo mawazo ya kuwa tegemezi yataisha lini? Kama una mawazo yako na...
  6. Liwalo na Liwe

    Waziri Mbarawa atofautiana na Makonda, ataka Magari ya Serikali yatengenezwe na TAMESA

    Mbona sioni kinacho bishaniwa hapo. Wote wawili wapo sahihi. Waziri katoa utaratibu wa serikali kutengeneza magari (hiki maana yake matengenezo yanayohusisha fedha ya serikali). Makonda anazungumzia wadau wake wa mkoa wa Dar kujitolea kuisaidia serikali kukarabati magari chakavu BURE. Hiki...
  7. Liwalo na Liwe

    Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Kwa mtazamo wangu, Ccm inapaswa kufurahi wanapoondoka watu wenye makandokando ya ufisadi. Hawa watu wameighalimu sana ccm, mambo sasa yanageuka, ndege wanaofanana wanaenda kuruka pamoja kwenye pori linalowafaa. Huko tunakoelekea rangi halisi ya chadema itaonekana. Naamini wengi ambao walikuwa na...
  8. Liwalo na Liwe

    CHADEMA mnalalamika nini? Tuliwaonya msihalalishe ufisadi hamkusikia wala kuelewa!

    Wewe chama chako kimeshajulikana, unazuga huna chama
  9. Liwalo na Liwe

    Is Tanzania a "Mineral Republic"?

    Usipoelewa nchi inakoelekea hakika hata nchi haitokuelewa wewe unapoelekea. Kila mtu atambue direction yake sasa kabla ya kuhangaika na direction ya nchi
  10. Liwalo na Liwe

    Is Tanzania a "Mineral Republic"?

    "At the movement we are going, ukidhani kwamba huelewi nchi inaenda wapi, tambua kwamba hata nchi pia haikuelewi unapoelekea
  11. Liwalo na Liwe

    GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

    Jifunze kutofautisha biashara na siasa, unalazimisha hisia zako kwenye mipango ya watu wengine. Kama wewe una tatizo la zari kufungua ni tatizo lako pambana na tatizo lako, kwa GSM wao hilo siyo tatizo. Wewe bado una hangover za ujamaa, uchumi wa sasa siyo huo tena, amka pambana na hali yako
  12. Liwalo na Liwe

    NSSF Rekebisheni hili

    Haieleweki aisee, huwa nashangaa ikitokea umefika muda huo ujue umeshaharibu siku. Najiuliza hii kama ni tawi hili tu au matawi yote, haieleweki
  13. Liwalo na Liwe

    NSSF Rekebisheni hili

    Habari zenu kwa ujumla? Reference ya pendekezo langu inatokea ofisi ya NSSF Temeke. Hili linahusu kupatikana huduma zenu kuanzia saa saba mchana (13hrs) mpaka saa nane (14hrs). Mara nyingi baadhi yetu tunaleta michango yetu muda huu na tunalazimika kuwasubiri kwa saa nzima mpaka muda huu upite...
  14. Liwalo na Liwe

    Ukimya wa Dr. Slaa na tukio la kushambuliwa Tundu Lissu, nini tatizo?

    Muacheni Mzee ahangaikie maisha yake, kwanini mnalazimisha azungumzie mambo yasiyo na faida kwake? Nadhani huu sasa ni muda wa kila mtu kufuata mambo yake
  15. Liwalo na Liwe

    Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

    Hakika wewe sio mtu mzuri kabisa, unaandika hisia zako zilizojaa chuki, dhuluma na unafiki. Watu kama wewe ni virus kwa jamii yoyote. Unawezaje kutuhumu watu namna hiyo? Tena kwa sababu ya shida zako bila chembe ya ushahidi? Ni lini na wapi kanisa hili liliwahi kufanya unayosema? Una ushahidi...
Back
Top Bottom