Recent content by Liwagu

  1. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Yani mkewako umkataze kitu alafu asi tii maelekezoyako?, ukiona ivyo ujue uanaumewako hauja kamilika!.
  2. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Nchimbi atakutesa sana. Kwanini usitumie mamlaka yako kama Mwenyekiti wa chama?

    Ungepunguza hasira kidogotu ungeandika vitu vyamaana sana na ujingawako usinge onekana!.
  3. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu

    Haiwezi kutokea, na haijawahi kutokea, hatakama nchi na nchi zipo kwenye vita na maraisi wakakutana kwa moja katiyao kwa mazungumzo jambo hilo haliwezi kutokea.
  4. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Don’t date broke girl!.
  5. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Don’t Die With a Life Unlived

    Let me start with this young girl here at the fuel station and tell her what I was afraid to tell. Turns out life is actually this simple. 😂😂
  6. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Niujinga kuamini vitu visivyo eleweka!.
  7. Liwagu

    JamiiForums Tanzania TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

    Wewe ni kilaza?. Unavyosema taifa litakuwa halijatendewa haki unamaana gani, kwani wanamtafuta mtakatifu wa Taifa?.
  8. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Kazungu ni unyama unaoichafua nchi- Ado Shaibu

    Unahangaika kumjibu mtu mwenye akili timamu lakini ameamua kujifanya kama juha.
  9. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuomba Rais Samia fursa ya kusafiri naye nje ya nchi. Awakubalia

    [emoji1787][emoji1787]
  10. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Kama hawataki serikali moja basi tugawanefito tu.
  11. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Kwahatua tuliofikia nahao wa Zanzibar suluhisho hapo kama tunautaka muungano kweli twende kwenye serikali mojatu, full stop!!!. Mambo mengine yote serikali mbili sijui tatu ama shirikisho nikupotezeana mudatu kwa vikao vya kijinga na kinafiki kujadili mambo ya muungano kila mwaka. Serikali...
  12. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

    Unaweza ukataja jina alafu mambo yakawa kama kwenye shoo miaka 30 ya bongo flaver inabaki aibu. Watu wanaona mbali.
  13. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Unapozomewa ni tafsiri watu hawakuheshimu kama unavyofikiria. Hawakuonei haya

    Walio andaa hilotamasha walilala na viatu.
  14. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Unapozomewa ni tafsiri watu hawakuheshimu kama unavyofikiria. Hawakuonei haya

    Yule sio mwenzao na wanamjuwa ni mtu wa haki, amejipenyeza tu pale kwasababu za njaa na kujijenga, tunza manenoyangu, hatapata nafasitena ya kwenda mjengini.
Back
Top Bottom