Ifanye iwe lifestyle yako..usifanye tu mazoezi afu ukapungua kidogo ukarelax..utaanza upyaaa.
Pia you are what you eat,punguza kula vyakula vyenye wanga na mafuta. kula sana vyakula vya unga usiokobolewa as inacontain more fibre inayokufanya uwe full kwa muda mrefu, brown bread, brown rice...