Recent content by Livino Haule

  1. Livino Haule

    Shaping a progressive judiciary in Tanzania

    Thank you Senior. This is a constructive article.
  2. Livino Haule

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Nadhani yeye anafikiri kulipa ni "optional" hajui kama ni wajibu kwa maelekezo ya sheria husika. Anahisi pesa ni zake za serikali yake, kumbe pesa zote ni mali ya Taifa...Taifa limewaajiri watumishi mbalimbali na wengine ndio hao wanaolidai Taifa kama mwajiri. Taifa hufanya shughuli zake kupitia...
  3. Livino Haule

    Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

    Shida ipo hapa kaka. Mwamuzi ni mtawala sio absolutely mahakama.
  4. Livino Haule

    Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

    Hahahaha "agizo kutoka juu" eti. Ni mwendo qa kukomesha na kuwaburuza wapinzani kwelikweli utadhani wao ni wahamiaji haramu au wamefanya jaribio la uhaini. Tuombe Mungu tu aisee!
  5. Livino Haule

    Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

    Hahahaha sio michezo ni utaratibu wa Common Law Legal system kwamba maamuzi ya mahakama za juu hutusaidia kama sheria hasa katika mazingira ambayo sheria haikufanya "coverage" ya jambo fulani sawa sawa.
  6. Livino Haule

    Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

    Tarehe 11/01/2017 ndugu NDAHANI N. MWENDA alipoandika katika ukurasa wake wa facebook taarifa ya Mhe. PETER LIJUALIKALI mbunge wa KILOMBERO kufungwa jela miezi 6 bila kupewa alternative ya kulipa faini kwanza; aliomba ufafanuzi wa kisheria iwapo mahakama ilifanya haki au sivyo! “Naombeni msaada...
  7. Livino Haule

    Wapinzani hawatamshinda Magufuli 2020 ila CCM 2025

    Ni mtazamo mzuri na mawazo mema. Kila neno na ushauri wa maana uzingatiwe na wahusika.
  8. Livino Haule

    TV 1 leo mmepwaya katika mjadala - mawazo pevu

    *LEO TV1 IMEPWAYA KATIKA KIPINDI CHAKE* (NAIKOSOA KWA UVIVU WAKE) Leo tarehe 12 January 2017 katika kipindi chake maarufu _*MAWAZO PEVU*_ baada ya habari mada ilikuwa ni MIAKA 53 YA MAPINDUZI NA MAENDELEO YA UCHUMI WA ZANZIBAR. Japo mimi siyo msomi wa Habari lakini baada ya kutazama mjadala wa...
  9. Livino Haule

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Hatareee! Huu ni mwanzo nadhani tutaona mengi zaidi.
  10. Livino Haule

    Majibu kwa Thadei Ole Mushi na Mathias Canal wa Iramba

    Thibitisha mauzo yake mkuu sio story za majukwaani.
  11. Livino Haule

    Majibu kwa Thadei Ole Mushi na Mathias Canal wa Iramba

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook Mathias Canal wa Irimba yapo maswali kadhaa (zaidi ya 10) ambayo yeye amesema yameandikwa na Thadei Ole Mushi; Nimeona nitumie nafasi na muda nilionao kuchangia kujibu swali la Kwanza (swali no. 1) ambalo litajibu 'automatically' na swali la 11 na mengine...
  12. Livino Haule

    Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Mungu mwema kwake na watu wake wa Bunda. Sasa Bulaya ajipange na adhamirie kufanya kazi tena afanye kazi kwelikweli.
Back
Top Bottom