Baaada ya kununua kiwanja nilijenga kwa awamu Tatu na nimerumia almost miaka miwili na nusu
1)awamu ya kwanza nilitafuta milioni 10 nikanunua mifuko ya sementi, tofali,nondo, nikalipa fundi, jenga ukuta na kuchimba mashimo ya vyoo
2) awamu ya pili nilikaa miezi kama 12 nikapasahau pakaota...
Kwani ni Mara ya kwanza mitihani kuvuja?
Wakati wa rizki yako bado haujafika, acha walio pata pepa wakale maisha.
Maisha sio mitihani ya utumishi tuuu
#Kun faaa Yaquun
Boss hakuna njia ya kuzui kuibiwa ila kuna njia za kupunguza kuibida yaaani wizi ufanyike kwa uchache
1) tenganisha duka na stooo weka kumbuku kumbu ya mali inayoingia stoo
2) funga kamera mlangoni stoo kisha kila mali inayotoka stoo kwenda dukani/ kuuzwa lazima iandikwe
3)kazi yako kubwa...
Kinacho luhusiwa kuingia huku ni bidhaa za watanzania ambazo tayali walishazilipia cash kwa hiyo ukizuia magari ya yanayotokea kenya kuiingia Tanzania ...unabaki kuwaumiza wafanya biashara wa Tanzania mana wao ndio wanamali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.