Recent content by Livejr

  1. L

    Sababu za Mashabiki kuisusia Taifa Stars ni hizi hapa, Acheni kuionea wivu Kenya

    Ina maana Taifa Stars imeanza kucheza baada ya siasa za Samia? Ni mwaka gani Taifa Stars ilijaza Uwanja? Wabongo maneno meeengi, ila kiukweli hawapendi Mpira, wanapenda Simba na Yanga.
  2. L

    Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwa hiyo akiwa Shoga ni shida ila akiwa anajula Mashoga ni fresh tu? Kwa sababu hawa wanaokula, wanasababisha uwepo wa wanaouliwa. Na vipi wanawake wanaoliwa, huwa wanateuliwa huko Serikalini?
  3. L

    Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Wewe mwenyewe hujui chochote kuhusu uwakala na Biashara ya Soka kwa upabde wa Wachezaji. Na kama Yanga imemkuza Mzize na wamemjengea Brand, si wamuuze huko Kuwait? Wanasubiri nini?
  4. L

    Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
  5. L

    Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Nahitaji Lodge ya 20k hapo mjini dodoma 🙏🙏
  6. L

    Kero Ya Umeme Mkoa Wa Mtwara Imefika Pabaya

    Nina karibu wiki sasa hapa Mtwara, umeme umekatika jana saa 2 Usiku tena ndani ya dkk 8 ukawa umewaka. Au ndg Upo Mtwara ya wapi?
  7. L

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: Economics & Finance Exp: 5 years working in NGOs Areas of experience: Project Management, Budgeting, proposal writing, Coordination, SPSS, Data Analysis (Excel) and et cetera
  8. L

    Belouizdad ni timu mbovu sana, Yanga wasiwe na presha

    Umeona mechi za Ahly Vs Belouizdad na kuona za mkakati na mchongo lakini uneshindwa kuona Mechi ya Yanga Vs Belouizdad? [emoji3][emoji3]
  9. L

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Unakuta mtu yupo Kizimkazi huko anakuja kulalama humu kuwa Kikwete alimsaliti Lowassa, ukiuliza alimsaliti kwenye nini, hakuna majibu ya kueleweka. Kilichotokea Baina ya Kikwete kilipangwa kitokee, na wanaojua hasa ni Kikwete na Lowassa. Hata angesifiwa Kikwete leo, isingebadili ya kile...
  10. L

    Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

    Ukae kitako na Stress zako ili muyamalize. Ugumu wa Maisha ni Chanzo cha sonona na msongo wa mawazo
  11. L

    Taja kikosi chako bora cha AFCON mpaka muda huu

    Rudia tena Kuhusu Diarra [emoji2301] Williams ana Cleansheat 4 Diarra ana ngap?
  12. L

    Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

    Ila Hii nchi kwa Malalamiko!
  13. L

    Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Mkuu Mbona kama huna akili? Hii picha unayosema imevuja mbona kama ipo Instagram? Kana kwamba ni siri
  14. L

    Kocha Gamond tunakuelewa, Mapinduzi Cup haijawai kuwa na tija yoyote

    Kwani kikosi cha kwanza huko Yanga ni wachezaji 14 na sio wachezaji 11 au wenzetu mnacheza Rede kama inavyoonekana kwenye Nembo yenu kuwa Rede ni sehemu ya michezo yenu hapo Klabuni
Back
Top Bottom