Recent content by live talk

  1. live talk

    JamiiForums Tanzania Kero: Kwa hili polisi wa pikipiki mnatuonea

    Katika kazi yenu mnayoifanya katika kulinda watu kwa njia ya kutembea na pikipiki ni nzuri sana Ila inafika kipindi mnakamata waendesha pikipiki hata makosa hawana lakini mnawalipisha hela ila muda mwingne mnakuwa mnamakosa kibao Unakuta pikipiki ya polisi inahali hizi 1. Haina site mirror...
  2. live talk

    JamiiForums Tanzania Makonda awamu ya tatu jiepushe na haya majina

    Tumeona katika awamu ya pili umewataja watu wengi sana ila kuna baadhi ya watu umewaweka lakini haujafanya tathmini yeyote kama wanahusikaa ila katika awamu ijayo jiepushe na baadhi ya majina kama njia ya kuwachafua kama ulivyofanya kwa mbowe Majina haya ukiyaweka awamu ya tatu ya madawa ya...
  3. live talk

    JamiiForums Tanzania SUMATRA Dodoma hapa mmekosea sana

    Habari wenzangu wa jf Kuna issue imetokea dodoma kuhusu hawa vijana wa kuendesha bodaboda ,sumatra wamewaambiaa katika pikipiki zao waambatanishe document original Kama hivi vifuatavyo viwe original Bima original Sumatra original Kadi ya pikipiki original Sasa maswali kuhusu hawa sumatra...
  4. live talk

    JamiiForums Tanzania KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK

    Katika mazingira ya kawaidaa kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kuwa king of all social media network ni kwamba ww upo katika mitandao kadhaa na unahusika kuwa active. Kutokana na uking wako hii ni kama mfano kuwa katika mitandao hii Instagram Facebook Jamiiforum Twitter Telegram Snapchart...
Back
Top Bottom