SUMATRA Dodoma hapa mmekosea sana

live talk

New Member
Nov 12, 2016
4
3
Habari wenzangu wa jf

Kuna issue imetokea dodoma kuhusu hawa vijana wa kuendesha bodaboda ,sumatra wamewaambiaa katika pikipiki zao waambatanishe document original

Kama hivi vifuatavyo viwe original
Bima original
Sumatra original
Kadi ya pikipiki original

Sasa maswali kuhusu hawa sumatra
1:je pikipiki ikiibiwa itakuwaje hapo utakuwa umempa documents zote ?

2:au document za pikipiki zikadondoka na mtu akaokota akakutafuta umeiba pikipiki utakatalia wapi wakati aliyeokota amekuja na kadi original?

Na wanasema mwisho leo tareh 07/02/2017 hivyo vitu viwe vimewekwa ,

Ninaombaa boss wa sumatra ajaribu kufikiliaa hili tatzo litakavyokuwa baada ya hivyo vitu kuwekwa kwani inakuwa ni sawa na kusema kulala nyumba nzur yenye dhahabu ndani na ukaambiwa uwe unaacha mlango wazi


Sumatra boss tunaomba msaada wako vijana wa bodaboda wanaliaa wanaona uwizi wa pkpk utaongezekaa
 
Back
Top Bottom