Kero: Kwa hili polisi wa pikipiki mnatuonea

Kero: Kwa hili polisi wa pikipiki mnatuonea

live talk

New Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
4
Reaction score
3
Katika kazi yenu mnayoifanya katika kulinda watu kwa njia ya kutembea na pikipiki ni nzuri sana

Ila inafika kipindi mnakamata waendesha pikipiki hata makosa hawana lakini mnawalipisha hela ila muda mwingne mnakuwa mnamakosa kibao

Unakuta pikipiki ya polisi inahali hizi
1. Haina site mirror zote mbili ambazo zinawasaidia kuona nyuma

2.indicator za nyuma hazifanyi kazi hata kuwaka

Kwa kifupi pikipiki nyingi za polisi zina mapungufu mengi sana

Hivi haiwezekani nikishikwa na makosa na wao. Niwaambie makosa yao yaliyopo kwenye pikipiki yao.
Screenshot_20170219-000304.png
Screenshot_20170219-000252.png
Screenshot_20170219-000226.png
 
Back
Top Bottom