Huyu biteko anazeeka vibaya sana.
Kabla hajawazuia kwa mamlaka niliyopewa namuuliza biteko anao ushahidi kuwa hao wafanyakazi ndio walio saini mkataba wa Richmond, kagoda, IPTL, Dowans na Dpworld?
Au anao uhakika ndio walio beba mijela ya walipa kodi wengine kwenye sandarusi, magunia, vikapu...