Recent content by lito jiniaz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    mbna kitoga wenu alisema ukawa wakichukua nchi patakuwa kama libya na hamkupayuka? mnachunguza sana ya wapinzan kulko yenu?..tume ishasema hayo n maneno ya kisiasa, kaen mtulie
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    kaul za kikwete kuwa watakao kusanyika hawatavumiliwa na wapga kura wako milion 23 znamaanisha nin?...tufanye mambo yawe pasu kwa pasu, kama tume ya uchaguz iliposema NI MANENO YA KAMPENI NA WAOMBA KURA.. unamkumbuka yule wa ccm aliesema ukawa ikichukua nchi patakuwa kama libya.. sishangai tume...
  3. L

    JamiiForums Tanzania TV stations za Kenya na Uganda zina upendeleo sana kwa Lowassa, kwanini?

    wao wanataka viongozi wanaofanya kampen,sio fiesta,push ups na matusi..
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    yao?..mliemkataa ndo anachukua nchi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    nchi inahtaj kiongoz mwny busara km lowasa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    maguful hawez ongoza nchi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mtaani wanataka mabadliko
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa utapitiaje mikataba uliyoingia mwenyewe na Sumaye? Usituzingue!

    huyo maguful anayezungumzia samaki, yy ndie alikurupuka akakamata wavuvi halal..kilchofuata ni hasara ya mabilion kwa serikal..huyu ----- ana maamuz ya kukurupuka
  9. L

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    naomba unitajie majna ya masanii waliopanda jukwaan kuutmbuiza kabla lowasa hajahutubia.. Wenzetu ccm wanaraha,had ali kiba na ya moto band wanatumbuiza
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    sanduku la kura litajaa za lowasa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    trekta litamkanyagakanyaga mzee wa push ups
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    ganja kampe magufuli
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    marijuana kampe magufuli
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ungependa nani awe Speaker wa Bunge lijalo?

    mbunge yeyote wa UKAWA-CHADEMA anaweza kuongoza bunge kwan vichwa vyao viko smart,creative na ni wawajibikaji
Back
Top Bottom