Recent content by Litmus

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi naye ndio, Lakini...

    Ikiwa ni kweli haya usemayo, Mchukue huyu mwenye mtoto huyo ambaye bado hujamzalisha atachukuliwa tuu na mtu mwingine. Siku ukifanya haya maamuzi upendo juu yake utakuja. Hakuna uyakachokipata cha ziada kwa huyu ambaye hajawa na mtoto.
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina pepo la ngono. Mi ni mwanamke...

    Unaijua kweli lakini hutaki kukaaa katika huyo kweli. Fuata kweli itakusaidia
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

    Ijulishe serikali tafadhali
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Umetumia Hekima yako vizuri utapata thawabu
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

    Na hivi ndivyo mlivyomshuhudia Muumba wenu kwa uchafu mlioufanya. Mtapata Sawa Sawa na mlivyotenda
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Kama jina lako lilivyo! Pipi Jojo zinaa ni mbaya Subiri upate Mume usiwaonjeshe wanaume Pipi yako
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    Usije ukathubutu kuua. Mwache akuzalie mtoto. Aibu ni ya Wakati mchache lakini jeraha la kuua ni la Siku zote utakazoishi. Yangu ni hayo tuu
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

    Akili yako ikiwa na kazi ya kufanya hutamwaza shemeji yako. Pambana uwe na kazi ya kufanya
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari gani naweza kuzipata kwa kutoka na mke wa mtu?

    Ukilala na mke wa mtu tabia zake zitakuingia nawe utamwambukiza Mkeo hizo Tabia chafu utakapolala Naye . Mkeo ataanza kubanduliwa mbele ya macho yako . ''Apandacho mtu ndicho atakachovuna"
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio yafuatayo yatashamiri sana vyuoni endapo hatua stahiki hazitachukuliwa kunusuru hali.

    GRADUATE WITH A+ AND NOT HIV +
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

    Wewe! umelala na ndugu yako wa damu halafu unakuja hapa kuomba ushauri? Kwa nini hukuomba ushauri kabla hii laana haijakupata? Hukufunzwa katika dini yako kuhusu ndugu wa damu? Subiria laana yako hapa hakuna cha kukusaidia
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la kushtukiza huwa na ladha ya kipekee sana

    Ngono tena! Mimi nilishaacha hii tabia mbaya nimemrudia Muumba
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Verossa

    Verosa tena. Ok kwaheri
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda msichana kumbe ni jini, amenitesa sana

    Kwa kuwa Yesu amekusamehe dhambi zako enenda zako usitende dhambi tena
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Sodoma na Gomora iliteketezwa kwa sababu ya huo upuuzi
Back
Top Bottom