Recent content by Litimba Said

  1. L

    Gas Mtwara-naomba tutizame haya

    Wanadai gesi inapelekwa dar kwa maendeleo ya nchi, Hivi mtwara cio tanzaia, Gesi ikiprossesiwa kule na kusafirisha umeme uliotayari kwa nguzo to DAR hautatumika?, au mji wa Mtwara ukiendelezwa, Bandari ipo tena asilia, Uwanja upo ni marekebisho tu, Barabara ndo hiyo isiyoisha, mmmmh mambo...
  2. L

    Gas Mtwara-naomba tutizame haya

    Ni kweli lakini tatizo la serikal ye2 imezoea kuziba pancha badala ya kununua tairi jipya, Kama hii mikakati ilikuwepo kabla kwa nini wananchi hawakuathe mbiwa mapema mpaka ikangoja maafa ndo wakaambiwa ukweli huu na kama sio uwongo. Kwanini maamuzi ya kujenga kinu yamekuja baada ya maandamano...
  3. L

    Mtwara kumekucha! Ujumbe katika mabango kuhusu gesi...Vipi Bagamoyo?

    Mjinga akielimika mwerevu atakiona, tulinyimwa huduma muhimu kama elimu ambayo ingetkomboa, tumejikongoja japo kwa uchache wetu, tumejua ipi mbivu ipi mbichi,
  4. L

    Mtwara kumekucha! Ujumbe katika mabango kuhusu gesi...Vipi Bagamoyo?

    Tatizo Kikwete Tulikuita shemeji wakati wa kampeni na matokeo yake unata kuletea ushemeji kwenye gesi, sasa hivi umekuwa mgoni wetu (gesi). MJOMBA kama Mpoto Wamakonde tumepata nauli tunakuja mjini sasa mpaka kieleweke. Tatizo Rais anataka apate cha kuongea kwao "nimefanya kitu fulani" kwa...
  5. L

    MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI SHULE ya KIISLAMU TAMBAZA

    We hujielewi, ni jumuia ya wanafunzi wa kiislam, kama ilivyo jumuia ya wanafunzi wa kimadhehebu ya makanisa mbalimbali kama sabato, wewe wa wapi?, acha ushabiki usiokua na ufahamu, na hisi nimukufahamisha
  6. L

    22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    Si jambo la kushangaa ikiwa mapapa na mapadri wenyewe wanaidhinisha ndoa ya jinsia moja, huo ndio mwelekeo wa mwisho wa dunia, ndo haha wanaokuja kuw wanaharakati wa kutetea eshoga...... suala si kuwaombea, kuwapa elimu ya kutosha ya kidini ili wajiombee wenyewe kumbuka jiombee kabla hujaombewa
  7. L

    Jk aendeleza ubabe mradi wa gesi mtwara

    HIVI DAR KUNA NINI, WAKAZI WAKE WANAUMUHM GAN KULIKO WENGINE, MAANA HADI TUNACHOKA KILA KITU DAR. Yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania, AU MTANZANIA NI YULE ANAYEISH DAR, HILI LINAJDHIRISHA JINSI WAKAZI WA MTWARA 2LIVYO, 2NAVYO, NA 2TAKAVYOENDELEA KUSAHAULIKA NA SERIKALI YETU, KIPOWAPI...
Back
Top Bottom